الثلاثاء , 23 أكتوبر 2018
عاجل
الرئيسية / islam wa dunia

islam wa dunia

Dhanaya Jihad 16

Mtume Mohammad (S.A.W.) alikuwa akisema kwa waislamu: “Msitamani kukutana na maadui, na Mmwombeni Mwenyezi Mungu Akupeni amani”, hapa tunadokeza kwamba waislamu hawakupigana na Wahabashi wala hawakuwa na vita nao, ingawa maeneo ya Wahabashi yako karibu mno na Peninsula ya Kiarabu, na kwamba waislamu wanawajua Wahabashi na hali zao vyema, lakini hawakuwapigania vita wala hawakuyakalia maeneo yao pamoja na udhaifu wake, ... أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 15

Neno la “Saif” – upanga – sio mojawapo matamshi ya Qurani wala halikutajwa kabisa katika aya yo yote katika Qurani, ingawa upanga wakati wa kuteremshwa kwa Qurani ulikuwa ishara ya ushujaa na ushindi. أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 14

Sio sahihi kwamba Uislamu ni dini ya upanga, kama yanavyotajwa katika maandishi ya baadhi ya waliojishughulikia kuuchafusha Uislamu na ustaarabu wake, jambo linalohitaji kujadiliwa kirefu, lakini tutatosheleka kudokeza kuwa Qurani iliyopitisha uhuru wa kujiunga itikadi yo yote katika aya zake, haiwezekani kupitisha katika wakati huo huo kutumia upanga wala chombo cho chote kwa ajili ya kueneza Uislamu, wala haina njia ... أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 13

Kwa hakika Uislamu umeharamisha kuwaua watoto, wazee, padri, kipofu, mlemavu na mwajiriwa waliomo kampeni mwa maadui, kwani watu hawa hawatazamiwi kupigana wala kufanya uadui, kwa hiyo imeharamishwa kuwaua ingawa wao ni makafiri, kama ikiwa sababu ya kuruhusu kuwaua ni ukafiri basi inajuzu kuwaua wale wanyonge kwani ni makafiri. أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 12

Kuna baadhi ya maoni finyu ambayo hayakubaliki kamwe yanayoashiria kuwa ukafiri unaruhusia mapigano, na kwamba waislamu wanapaswa kuwapigania watu ili wawalazimishe kujiunga na Uislamu, au wabaki na dini yao pamoja na kulipa dhamana “Jizya”, maoni hayo ni batili kwani hayaafikiani na aya za Qurani wala Sunnah za Mtume (S.A.W.) hata kidogo, je, kwa nini Uislamu umeharamisha kuwaua wanawake, watoto na ... أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 11

Je, waislamu wanawapigania vita wengine kwa sababu ya uadui wao au kwa sababu ya ukafiri? Jibu lililokubaliwa na maulamaa wa waislamu kwa kutegemea Qurani Tukufu na misimamo ya Mtume na wasio waislamu: ni kwamba sababu ya msingi ya kuwaruhusia waislamu kupigana na makafiri ni uadui, ama kutofautiana katika dini – pasipo na uadui – haifai kuwa sababu ya kuwaruhusia kupigana, ... أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 10

Kauli ya Mwenyezi Mungu (S.W.): “Wameruhusiwa kupigana wale wanaopigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa – na kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuwasaidia”, aya hiyo inabainisha kuwa waislamu hawakuwashambulia makafiri kwanza, bali kinyume waislamu waliruhusiwa kupigania vita vya kujilinda kutoka uadui waliopatwa nao, kwa hiyo kitenzi kilikuja katika kauli ya kutendwa jambo linalomaanisha kuwa sababu ya kuteremshwa kwa aya hiyo ... أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 9

Kwa kweli aya za mwanzo kabisa kuteremshwa kuhusu uagizo kwa kupigania vita ndiyo kauli ya Mwenyezi Mungu (S.W.): “[Wameruhusiwa kupigana wale wanaopigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa – na kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuwasaidia] …………………., [Na lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana shaka zingelivunjwa nyumba za wat’awa, na makanisa, na masinagogi, na misikiti………….]”, aya ... أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 8

Maadui wakiishambulia nchi moja ya kiislamu ghafula wakaiingia na majeshi ya nchi hiyo wakahitaji msaada kutoka kwa wananchi wa kawaida, basi papo hapo kila mwislamu hutakiwa kufanya jihad ya kupambana na maadui hao akitumia kila anacho nacho kati ya nafsi au mali au cho chote kingine, ambapo jambo hilo bila shaka ni jambo la kubalika kiakili. أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 7

Jihad ya binafsi – mapigano – ni faradhi isiyopitishwa juu ya kila mwislamu kwani majeshi ya nchi yanawawakilisha waislamu kutekeleza faradhi hiyo ambapo waliobaki hawalazimishwi kwa faradhi hiyo wala hawatalaumiwa kwa sababu ya kutoifanya mbele ya Mwenyezi Mungu (S.W.) katika siku ya Kiyama. أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 6

Haikubaliki kusema kwamba madamu Jihad ni faradhi katika Uislamu, basi kila mwislamu huwa na haki ya kujihami kwa upanga au silaha na kuwapigania vita wengineo, kwa hakika kufanya hivyo uhalifu na kosa kubwa. أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 5

Kama Jihad katika Uislamu ina maana ya kupigania vita vya kujilinda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, basi itakuwa la kubalika kuwa utetezi huo ni lazima hasa ikiwa hali ya mambo inawajibisha kufanya hivyo.   أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 4

Faradhi ya Jihad  – ambayo baadhi ya watu hujaribu kuichafusha –  haikupitishwa ila kwa lengo la kutetea nafsi, imani na nchi.   أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 3

Uagizo wa kufanya Jihad katika Uislamu haumaanishi kuagiza kufanya mauaji, bali ni uagizo wa kujitetea, kwa maana ya kupambana na anayetuvamia na kupigana naye, ili kuzuia uadui wake na kusimamisha uvamizi wake.   أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 2

Jiahd katika falsafa ya Uislamu haipitishwi kwa ajili ya kupanua eneo la dola la kiislamu, au kuzikalia ardhi, au kudhibiti rasimali ya watu wengineo, au kuwashinda watu na kuwadhalilisha, au mambo yo yote mengineyo kati ya malengo ya kimada yanayosababisha kuzuka vita katika staarabu kubwa zaidi duniani hapo zamani na katika enzi ya kisasa, bali Jihad imepitishwa kwa ajili ya ... أكمل القراءة »

Dhanaya Jihad 1

Neno “Jihad” limekuja kwa minyambuliko yake katika Qurani Tukufu katika aya 31, wakati ambapo neno “Vita” limekuja katika aya 4 tu. Tunatambua kwamba maana ya Jiahd katika aya za Qurani na matiniza Sunna za Mtume Muhammad (S.A.W.) ni maana mpanazaidi kuliko maana ya kupigania vita; ambapo maana ya kupigania vita inamaanisha –hasa- mapambano kwa kutumia silaha katika vita, ilhali jiahd ... أكمل القراءة »